Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dkt Ali Mohamed Shein kwa
mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu 39 (2) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984
amemteua Mhe. Balozi Seif Ali Iddi kuwa makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar.
Uteuzi huo umeanza leo tarehe 28 Machi 2016. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe Dkt Ali Mohamed Shein kwa mujibu wa uwezo aliopewa
chini ya kifungu 39 (2) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984 amemteua Mhe. Balozi
Seif Ali Iddi kuwa makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar. Uteuzi huo umeanza leo
tarehe 28 Machi 2016.
March 28, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment