December 01, 2015


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, (kushoto) akizungumza na Makamu wake Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa wakati Rais na Waziri Mkuu walipomtembelea Makamu Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa mazungumzo.

Rais Magufuli (kushoto) akiagana na Makamu wake Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa (kulia) baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam Wa pili (kulia) ni Naibu Katibu wa Makamu wa Rais, Mohamed Khamis

0 comments:

Post a Comment