Wednesday, April 16, 2014 by zenjkijiwe
|
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo (kilemba
cheupe) na wanafamilia wakati akiwahani wafiwa huko Ubungo Makuburi
|
|
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha
Muziki wa dansi Brighton akitoa shukurani kwa Rais Kikwete kwa kufika kuwafariji wafiwa.
|
0 comments:
Post a Comment