February 18, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amekutana na makundi mbalimbali yaliyoshiriki katika kampeni za  uchaguzi na kutangaza rasmi kupiga marufuku uagizaji wa sukari kutoka nje ya nchi ili kulinda na kuviendeleza viwanda vya hapa nchini.

Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam February 18, 2016.

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia katika
 mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi 
yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015
 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam  February 18, 2016.

baadhi ya makundi yaliyoshiriki na Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
 kwenye kampeni ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015







       

0 comments:

Post a Comment