January 20, 2016

Makamu Mwenyekiti wa UWT Zanzibar aliyewahi pia kuwa Mwakilishi na Waziri wa Wanawake na Watoto Zanzibar Asha Bakari Makame afariki dunia huko Dubai akitoka kutibiwa nchini India.
Mwenyeenzi Mungu amsamehe makosa yake na amlaze mahali pema. Amin.

0 comments:

Post a Comment