January 11, 2016

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali  Iddi
akiwasili katika katika Soko la Matunda la Mji wa Wete
kuweka jiwe la msingi la ujenzi wake ikiwa ni shamra
shamra za maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka
 52  ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1864.
 

Mshauri Muelekezi wa Kampuni ya Smal Investment of Town Council
 inayosimamia ujenzi wa soko la Mji wa Wete  Mhandisi
Joseph John Marandu  akimpatia maelezo Balozi Seif
jinsi ya ujenzi huo unavyoendelea mara baada ya
kuweka jiwe la msingi.



0 comments:

Post a Comment