December 28, 2015

Watu wawili wamefariki dunia na mmoja amejeruhiwa ajali 3 katika kipindi cha sikukuu ya krismas katika Mkoa wa mjini Magharibi.
Mkuu wa kitengo cha usalama barabarani cha jeshi la polisi Yusuph Daniel Yusuph vyanzo vya ajali hizo ni madereva kutofuata sheria na taratibu za barabara  zilizowekwa.
kwa mujibu wa kitengo hicho pia makosa 210 ya vyombo vya moto yameripotiwa katika kipindi hicho.

Akizungumzia kuhusu makosa hayo ni pamoja na dereva kuendesha gari akiwa amelewa, kutopasisha vyombo na kutozingatia sheria barabarani.

0 comments:

Post a Comment