Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt John Magufuli amewaapisha Mawaziri na naibu mawarizi wapya
aliowateuwa hivi karibuni.
Hafla hiyo imefanyika Ikulu
jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbali mbali wa serikali.
Dkt Magufuli katika
baraza lake la mawaziri kuna wizara 18 ambazo zitakazo ongozwa na mawaziri 19
na naibu mawaziri 15 lakini hadi sasa kuna
wizara hazijapata mawaziri ikiwemo wizara ya ujenzi,uchukuzi na mawasiano,
wizara ya fedha na mipango, wizara ya utalii na wizara ya elimu.
0 comments:
Post a Comment