TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika
Wizara mbalimbali.
Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
1.
Katibu
Mkuu Kiongozi
Balozi - Ombeni Sefue
2.
Katibu
Mkuu Ikulu
Peter Ilomo
3.
Ofisi
ya Rais, Utumishi na Utawala Bora
Dkt. Laurian Ndumbaro
4.
Ofisi
ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhandisi Mussa Iyombe
(Katibu Mkuu)
Dkt. Deo Mtasiwa (Naibu Katibu Mkuu - Afya)
Bernard Makali (Naibu
Katibu Mkuu - Elimu)
5.
Ofisi
ya Makamu wa Rais
Mbaraka
A. Wakili ( Katibu Mkuu)
Mhandisi
Ngosi Mwihava (Naibu Katibu Mkuu)
6.
Ofisi
ya Waziri Mkuu (Bunge, Sera, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu)
Erick Shitindi (Katibu
Mkuu Kazi na Ajira)
Mussa Uledi (Katibu
Mkuu Bunge)
Dkt. Hamis Mwinyimvua
(Katibu Mkuu - Sera)
7.
Wizara
ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Dkt. Frolence Turuka
(Katibu Mkuu - Kilimo)
Dkt. Mashingo (Katibu
Mkuu Mifugo)
Dkt. Budeba (Katibu Mkuu
- Uvuvi)
8.
Wizara
ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mhandisi Joseph.
Nyamuhanga (Katibu Mkuu - Ujenzi)
Dkt. Leonard M.
Chamuliho (Katibu Mkuu - Uchukuzi)
Profesa Faustine R.
Kamuzora (Katibu Mkuu - Mawasiliano)
Mary Sassabo (Naibu
Katibu Mkuu Mawasiliano)
9.
Wizara
ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Dkt. Yamungu Kayandabira
(Katibu Mkuu)
Dkt. Moses Kusiluka
(Naibu Katibu Mkuu)
10. Wizara
ya Maliasili na Utalii
Meja Jenerali Gaudence S.
Milanzi (Katibu Mkuu)
Anjelina Madete (Naibu
Katibu Mkuu)
11. Wizara
ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Dkt. Adelhem James Meru
(Katibu Mkuu - Viwanda)
Profesa Adolf F. Mkenda
(Katibu Mkuu - Biashara na Uwekezaji)
Mhandisi Joel Malongo
(Naibu Katibu Mkuu)
12. Wizara
ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi.
Maimuna Tarishi (Katibu
Mkuu)
Profesa Simon S.
Msanjila (Naibu Katibu Mkuu)
Dkt. Leonard Akwilapo
(Naibu Katibu Mkuu)
13. Wizara
ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Dkt. Mpoki Ulisubisya
(Katibu Mkuu - Afya)
Sihaba Nkinga (Katibu
Mkuu - Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto)
14. Wizara
ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Profesa Elisante Ole
Gabriel Mollel (Katibu Mkuu)
Nuru Halfan Mrisho
(Naibu Katibu Mkuu)
15. Wizara
ya Maji na Umwagiliaji
Mhandisi Mbogo
Futakamba (Katibu Mkuu)
Mhandisi Kalobero
Emmanuel (Naibu Katibu Mkuu)
16. Wizara
ya Nishati na Madini
Profesa Justus W.
Ntalikwa (Katibu Mkuu)
Profesa James Epifani
Mdoe (Naibu Katibu Mkuu)
Dkt. Paulina Pallangyo
(Naibu Katibu Mkuu)
17. Wizara
ya Katiba na Sheria
Profesa Sifuni Mchome
(Katibu Mkuu)
Suzan Paul Mlawi (Naibu
Katibu Mkuu)
Amon Mpanju (Naibu
Katibu Mkuu)
18.Wizara
ya Mambo ya Ndani
Jaji Meja Jenerali Projest
A. Rwegasira (Katibu Mkuu)
Balozi Hassan Simba
Yahaya (Naibu Katibu Mkuu)
19.
Wizara
ya Fedha na Mipango
Dkt. Silvacius
Likwelile (Katibu Mkuu)
Dorothy Mwanyika (Naibu
Katibu Mkuu)
James Dotto (Naibu
Katibu Mkuu)
Amina Hamis Shaban
(Naibu Katibu Mkuu)
20. Wizara
ya Mambo ya Nje, Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa
Dkt. Aziz Mlima (Katibu
Mkuu)
Balozi Ramadhan Muombwa
Mwinyi ( Naibu Katibu Mkuu)
21. ]Wizara
ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Job D. Masima (Katibu
Mkuu)
Immaculate Peter Ngwale
(Naibu Katibu Mkuu
Makatibu
wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wote ambao hawajatajwa katika orodha hii
watapangiwa kazi nyingine.
Katika
hatua nyingine Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
amemteua Bw. Eliakimu Maswi kuwa Kaimu Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA) na ametengua uteuzi wa Naibu Kamishina wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania Bw. Lusekelo Mwaseba, ambaye atapangiwa kazi nyingine
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
30 Desemba, 2015
0 comments:
Post a Comment