December 03, 2015



Professa Ibrahim Lipumba na wenzake 31 wameachiwa huru katika Mahakama ya Kisutu baada ya kesi iliyokuwa inawakabili kufutwa asubuhi hii.
Lipumba alikuwa anakabiliwa na mashtaka ya kufanya mkusanyiko bila ya kuwa na kibali cha Polisi lakini imefutwa baada  ya DPP kuileleza mahakama kuwa hana nia tena ya kuendelea na kesi hiyo..

0 comments:

Post a Comment