December 04, 2015

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli kulia akifurahia jambo na makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif ali Iddi aliyefika ikulu kwa ajili ya mazungumzo leo jijini Dar es salaam..


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi baada ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri  Mkuu jijini Dar es salaam Desemba 3, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment