November 19, 2015

 Dr Tulia Ackson Mwansasu wa CCM amechaguliwa kuwa naibu Spika wa bunge la Tanzania kuwa ameshinda kwa kura 250 sawa na asilimia 71.2  za wabunge dhidi ya mpinzani wake Magdalena Sakaya wa CUF aliepata kura 101 sawa na asilimia 28.8 ya kura. 

0 comments:

Post a Comment