Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya
Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif
Khatib mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi,Ofisi
Ndogo Lumumba.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya
Mrisho Kikwete akisalimiana na wapenzi na wanachama wa CCM waliojitokeza
kumpokea kwenye Makao Makuu ya Chama Ofisi Ndogo Lumumba.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya
Mrisho Kikwete akisani kitabu cha wageni mara baada ya kuingia kwenye ofisi
yake,waliosimama ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib
(kulia) na Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndugu Rajab Luhwavi.
0 comments:
Post a Comment