Mkuu wa Kampuni ya
VIGOR Kamal Kanal akimkabidhi maji safi na salama Mkuu wa Mkoa Mjini
Magharibi Abdallah Mwinyi kwa ajili ya wagonjwa
waliolazwa katika kambi kipindupindu Chumbuni.
Mkuu wa kambi ya wagonjwa wa
kipindupindu iliopo Chumbuni Dkt. Ramadhani Mikidadi akitoa maelezo
kwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallah Mwinyi mara baada ya kuwatembelea
wagonjwa waliolazwa katika kambi hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Mgharibi
Abdallah Mwinyi akizungumza na madaktari wanaoshughulikia wagonjwa
wa kipindupindu mara baada ya kuwaangalia wagonjwa waliolazwa
kambini hapo.
(Maelezo Zanzibar).
0 comments:
Post a Comment