Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Kamati ya Afya yakituo hicho na Wauguzi alipoenda kutembelea kituo hicho ili kujua changamoto wanazokabiliana nazo ili kuzipatia ufumbuzi
Wauguzi wa kituo cha Afya cha Kiembesamaki wakimskiliza mwakilishi wa Jimbo hilo Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (hajupo pichani)alipoende kutembelea kituoni hapo.
.Picha na Makame Mshenga- Maelezo Zanzibar
Muuguzi dhamana wa kituo cha Afya cha Kiembe Samaki Bi. Azida Othman akielezea changamoto wanazokabiliana nazo kituoni hapo ikiwa pamoja na kukosa Daktari dhamana wa kituo hicho kwa mda sasa, wa mwanzo kulia Diwani wa Jimbo la Kiembesamaki Bwa. Kharib Mohammed na wakatikati ni Mhe. Mahmoud Thabit Kombo.
Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Mahmoud Thabit Kombo kushoto akiteta na Diwani wake Bwa. Kharib Mohammed.
0 comments:
Post a Comment