May 16, 2014


Mkufunzi wa mafunzo ya utoaji uduma bora kwa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Bwa. Peter Ssali kutoka Uganda akifundisha katika mafunzo hayo.
Wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakimskiliza kwa makini Mkufunzi wa Peter Ssali (hayupo pichani) katika mafunzo yasiku tatu juu ya utoaji huduma bora kwa Bodi hiyo ili kuwa sambamba na Bodi za vyakula za Afrika Mashariki
 
Mrajis wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Dkt. Burhan Othman Simai akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafunzo hayo huko katika Hoteli ya Maru maru Mjini Zanzibar.
Picha ya pamoja ya wakufunzi na washiriki wa mafunzo yasiku tatu juu ya utoaji huduma bora kwa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar.
(Picha na Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar).

0 comments:

Post a Comment