February 05, 2016

Mwandishi wa habari, Hafidh Hussein Mwinyi maarufu kama "Mpita Njia" amefariki jioni ya 5. 2. 2016 kwa ajali ya Vespa maeneo ya Maungani amewahi kufanya kazi katika vituo vya redio kadhaa Zanzibar ikiwemo ADHANA FM, COCONUT FM na MWANGE FM.




0 comments:

Post a Comment