January 26, 2016

Kaimu Balozi Mdogo wa India Govind Sharan Gupta ameungana na Wananchi mbalimbali wenye asili ya India wanaoshi Zanzibar kuadhimsiha miaka 67 ya Uhuru wa Jamhuri ya India.

Sherehe hiyo imefanyika  katika Ubalozi huo Migimbani mjini Zanzibar ambapo waliimba wimbo wa Taifa la India la nchi hiyo. 
Kaimu Balozi Mdogo wa India Govind Sharan Gupta
akipandisha Bendera ya India kuashiria kuifungua
sherehe ya Uhuru wa Jamuhuri ya India ya kutimiza
miaka 67  katika Sherehe iliofanyika katika
 ubalozi huo Migombani Zanzibar
 


Wananchi waliohudhuria katika hafla hiyo wakisherehekea
 baada ya kupandishwa Bendera ya Nchi ya India kuadhimisha
miaaka 67 ya Uhuru wa Jamhuri ya India iliyofanyika katika
 Ubalozi huo Migimbani mjini Zanzibar.

0 comments:

Post a Comment