January 01, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Katibu
Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue wakati
 wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu 
na naibu katibu wakuu iliyofanyika katika 
ukumbi wa  Ikulu jijini Dar es Salaam.



Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongea na
Makatibu wakuu na Naibu Katibu wakuu baada ya 
kusaini Hati ya Maadili ya Umma mara tu baada 
ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam
 leo January 1, 2016

0 comments:

Post a Comment