January 14, 2016




Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya 
kuapishwa Bw. Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa 
Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo katika 
ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambapo kabla ya uteuzi huo 
Mkuu huyo  alikuwa Afisa Tawala wa Wilaya ya 
Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba.

0 comments:

Post a Comment