November 27, 2015

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi kamishna Mkuu wa mamlaka ya Mapato Tanzania TRA pamoja na kuwapiga marufu maafisa wakuu wote wa mamlaka hiyo kusafiri nje ya nchi.
Maamuzi ameyatoa muda mfupi baada ya Waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa kufanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment