Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa
mapanga na watu wasio fahamika wakati akifanya kampeni za kumdadi diwani wake.
Taarifa zinasema kuwa Mawazo ameshambuliwa
zaidi sehemu mbalimali za
mwili wake hasa kichwani amefariki akiwa hospitalini alipokimbizwa katika
jitihada za kujaribu kuokoa maisha yake.
Mawazo mwenyekiti huyo aliwahi kuwa Diwani wa Kata ya Sombetini
Arusha.
Mganga Mkuu Geita amethibitisha.
0 comments:
Post a Comment