November 15, 2015


Hawa ndio makada watatu walioteuliwa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kuwania kugombea nafasi ya uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania la 11 kupitia chama hicho.
Walioteuliwa kugombea nafasi hiyo ni pamoja na Naibu Spika aliyemaliza muda wake JOB NDUGAI, Dkt. TULIA ACKSON na ABDULAH MWINYI.
 JOB NDUGAI

Dkt. TULIA ACKSON.

ABDULAH MWINYI.

0 comments:

Post a Comment