November 16, 2015

CHUO Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) kimesherehekea miaka kumi (10) tangu kuanzishwa kwake mwaka 2005 - 2015, maadhimisho hayo yameenda sambamba na mahafali ya Nane ya chuo hicho.
Mkuu wa chuo hicho Hajjat Mwantum Mlale akiwa katika Mahafali ya nane ya Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) 
Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa chuo hicho katika mahafari ya nane yaliyofanyika chuoni hapo mkoani morogoro Novemba 14,2015.



0 comments:

Post a Comment