Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, ametengua
uteuzi wa Naibu Mwanasheria Mkuu Dr Tulia Ackson Mwansasu na kumteua kuwa
Mbunge.
Awali kabla ya uteuzi huo, Dr Tulia alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa
Serikali.
Jana Novemba 15, 2015 pia ameteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)
kugombea nafasi ya Spika wa Bunge.
0 comments:
Post a Comment