November 17, 2015


 Dk. Tulia Ackson amepita bila kupingwa baada ya kuchaguliwa na wabunge wa CCM kugombea nafasi ya Unaibu Spika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wagombea wengine waliokuwa  wanagombea nafasi hiyo akiwemo Bahati Abeid na Mariam Kisangi walijitoa katika kinyang’anyiro hicho na kumpa nafasi Dk.Tulia.
Bahati Abeid
 Mariam Kisangi

0 comments:

Post a Comment