Saturday, May 24, 2014 by zenjkijiwe
|
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim
Seif Sharif Hamad akichukua fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa
Chama hicho katika ofisi kuu za CUF Wilaya ya Magharibi Kilimahewa Zanzibar.
Anayemkabidhi ni Kaimu Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi Ussi Juma Hassan.
|
|
Katibu Mkuu wa CUF Mhe.
Maalim Seif Sharif Hamad akionyesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu
wa Chama hicho katika ofisi kuu za CUF Wilaya ya Magharibi Kilimahewa Zanzibar. |
|
Katibu Mkuu wa CUF Mhe.
Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wanachama waliojitokeza kumsindikiza
wakati wa kuchukua fomu hiyo. katika ofisi kuu za CUF Wilaya ya Magharibi
Kilimahewa Zanzibar |
|
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad
akizungumza na waandashi wa habari katika ofisi kuu za CUF Wilaya ya Magharibi
Kilimahewa Zanzibar, baada ya kuchukua fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu
Mkuu wa Chama hicho (Picha na Salmin Said, OMKR)
|
0 comments:
Post a Comment