Kamisheni ya utalii Zanzibar
inaendelea kuitangaza Zanzibar kiutalii
katika nchi za bara la asia ili kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea nchini.
Mwenyekiti wa kamisheni Dr Ahmada Hamadi Khatib amesema wameamua kutafuta
zaidi la sekta hiyo ili kuongeza mapato kwani ni sekta tegemo kwa uchumi wa
Zanzibar.
Kwa sasa watalii 13956 kutoka bara
la Asia idadi ambayo ni ndogo ukilinganisha na watalii zaidi ya
laki moja wanotembelea Zanzibar .
?mesema nchi nyingi zinazotegemea utalii hufanya hivyo kutokana na kuwa
raia wa bara la Asia wamekuwa na hali nzuri za kiuchumi kutokana na kuwa uchumi
mzuri na kutoathirika kiuchumi ukilinganisha na mabara mengine?r Ahmad
amezitaja njia wanazotumia ni kueleza mazingira ya Zanzibar, kushiriki maonesho
ya kimataifa pamoja na kutayarisha mpango maalum wa kutafuta wakala ili kuondolea
usumbufu wa kutoa huduma hizo katika vituo vingi
0 comments:
Post a Comment