Tume ya Uchaguzi Zanzzibar ZEC imemtangaza
mgombea wa CCM Dk Ali Mohamed Shein kuwa Rais Mteule wa Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar kwa kuibuka na ushindi kura 299, 982 sawa wa asilimia 91.4% ya kura
zote zilizopigwa jna katika uchaguzi wa marudio uliofanyika jana.
0 comments:
Post a Comment