Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ),
Dkt. Ali Mohamed Shein leo Jumamosi, April 9, 2016 ametangaza Baraza jipya Mawaziri litakalosimamia kazi za serikali kwa kipindi cha miaka mitano ya uongozi
wake.
Dkt. Shein amesema amepunguza ukubwa wa baraza
hilo la Mapinduzi kutoka wizara 16 hadi kuwa wizara 13 zenye Mawaziri ni 13 na Manaibu
waziri 7 na taasisi za wizara alizozivunja amezihamishia ambapo katika baadhi ya wizara za sasa.
mawaziri hao watawaapisha kesho Jumapili asubuhi
katika Viwanja vya Ikulu visiwani Zanzibar.
Baraza la Mawaziri Zanzibar hao ni;
1). Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi – Issa Haji Ussi Gavu.
2). Wizara nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na utawala bora – Haroun
Ali Sleiman na Naibu wake Khamis Juma Maalim.
3). Wizara ya nchi Afisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ – Haji Omari
Kheir.
4). Wizara ya nchi Afisi ya Makamo wa Pili wa Rais – Mohd Aboud.
5). Waziri wa Fedha na Mipango – Dk. Khalid Salum
Mohd.
6). Wizara ya Afya – Mahmoud Thabit Kombo Naibu wake Harusi
Said Suleiman.
7). Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali– Riziki Pembe Juma Naibu wake Mmanga Mjengo Mjawiri.
8). Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko – Amina Salum Ali.
9). Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi na Usafirishaji– Ali Karume Naibu wake Mohamed Ahmed Salum.
10). Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo – Rashid
Ali Juma Naibu wake ni Chumu Kombo Khamis.
11).Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi – Hamad
Rashid Mohd Naibu wake Lulu Msham Juma.
12).Wizara ya Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto –
Mauldine Castiko.
13). Wizara ya Maji Ardhi Nishati na Mazingira – Salama
Aboud Talib Niabu wake Juma Makungu Juma.
SIKILIZA HAPA
0 comments:
Post a Comment