Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai aweamuru Wabunge Wabunge
wanaounga umoja wa Katiba Ya Wananchi,
UKAWA Kutoka
Nje ya Bunge.
Hali hiyo Imetokana baada ya Wabunge hao Kupiga kelele Kipindi Viongozi
wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Pamoja Viongozi wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar hasa Dr Ali Mohamed Shein bungeni na
kuanza kuzomea huku
wakisema Maalim Seif....Maalim Seif Wakiingia Bungeni
Spika wa Ndugai amewataka wabunge hao
waache kuzomea na badala yake kukaa chini
lakini wakakaidi na kuwaamuru
kutoka nje kwa hiari yao kabla nguvu ya
dola haijatumika kuwatoa.
0 comments:
Post a Comment