Hatimaye Job Yustino Ndugai CCM amechaguliwa
kuwa Spika wa bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kura 254 sawa na
asilimia 70% ya kura zilizopigwa akifuatiwa na mgombea wa CHADEMA Goodluck Ole
Medeye ambaye amepata kura 109.
Hata
hivyo wagombea hao ambao walikuwa 7 kati ya 8 wameweza kutoa shukrani na
pongezi kwa Ndugai wakisema anastahili na ndio maana akachaguliwa na kumtaka
aongoze vyema bunge hilona ameomba ushirikiano na wabunhge wote.
0 comments:
Post a Comment