November 13, 2015


Mwandishi wa Habari Rahma Suleiman akichukuwa maelezo kwa Mgonjwa aliyefika katika kituo hicho mara baada ya kupata hujambo
Baadhi ya Wagonja walifikishwa Hospitalini hapo kwa ajili ya kupatiwa matibabu  baada ya kupata maradhi ya matumbo ya kuharisha (kipindupindu)

Naibu Waziri wa Afya  akionyesha ramani ya maeneo yanayoathiriwa zaidi na ugonjwa wa maradhi ya matumbo
Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabiti Kombo akinawa mikono, maji aliyotiwa dawa mara baada ya kuwatembelea wagonjwa hao  ili kujikinga na maradhi hayo
Naibu Waziri wa Afya akiwapa maelezo baadhi ya waandishi wa Habari juu ya kujikinga na maradhi ya matumbo ya kuharisha (kipindupindu) mara baada ya kutembelea kituo hicho.  (PICHA NA  MAELEZO ZANZIBAR)

0 comments:

Post a Comment