Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi
CUF Maalim Seif Sharif Hamad na Kiongozi wa ACT- Wazalendo Bw. Zitto Kabwe, wameshiriki
katika mazishi ya Marehemu Bi. Amina katika makaburi ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar.
Bi. Amina aliefariki ghafla jana (Jumatatu)
aliwahi kuwa Mbunge wa Viti maalum CUF katika awamu iliyopita na baadaye alijiunga
na Chama Cha ACT-Wazalendo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha
Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akitia mchanga katika kaburi la marehemu
Bi. Amina Abdallah Amour katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar.
|
Kiongozi wa ACT-
Wazalendo Bw. Zitto Kabwe, akitia mchanga katika kaburi la marehemu Bi. Amina
Abdallah Amour katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar wakati akishiriki
mazishi hayo.
|
0 comments:
Post a Comment