May 09, 2014

Balozi wa Malawi nchini Tanzania Flossy Gomile-Chidyaonga
Balozi wa Malawi nchini Tanzania Flossy Gomile-Chidyaonga amefariki dunia leo jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ya Malawi Quent Kalichero.
Balozi Flossy mwaka 2006 alikuwa Naibu Balozi wa Malawi London kabla ya kuteuliwa kuwa Balozi wa nchi hiyo Tanzania Septemba 2011











.MICHUZI.

0 comments:

Post a Comment