May 03, 2014


Mkurugenzi Idara ya Mashtaka Zanzibar Ibrahim Mzee Ibrahim akizungumza na waandishi wa habari za masuala ya udhalilishaji wa kijinsia yanaendeshwana Chama cha waandishi habari wanwake Tanzania TAMWA Zanzibar kwa ufadhili wa Mfuko wa kuendeleza wanahabari Tanzania TMF waliofika ofiini kwake
baadhi ya wanasheria wakitoa maelezo kwa wanahabari hao
  
baadhi ya waandishi wanaoshiriki mafunzo hayo

Mratibu wa mafunzo hayo Sofia Ngalapi akitoa zawadi kwa Mkurugenzi Ibrahim Mzee Ibrahim 
 
 

0 comments:

Post a Comment