Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti wa Wizara ya Afya Zanzibar Abdul- latif Khatib Haji akizungumza na washiriki wa mkutano wa mpango wa kuboresha Afya ya mama na mtoto.Hafla hiyo ni ya kukamilisha mradi wa kupunguza vifo vya wajawazito na watoto vitokanavyo na uzazi – MAISHA, unaofadhiliwa na Shirika la Misaada ya Maendeleo ya Kimataia la Marekani (USAID), katika ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malindi.
|
Mwakilishi wa USAID nchini Tanzania Lisa Patel, akitoa maelezo ya mradi wa MAISHA ambao umemaliza muda wake hapa nchini.
|
0 comments:
Post a Comment