April 21, 2014

Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 25 ameokotwa akiwa amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha huko kitope Wilaya ya Kaskazini ‘B’.
Kijana huyo alietambuliwa kwa jina la Vuai Ali Vuai amekutwa pembezoni mwa nyumba yao  katika kijiji cha Kitope .
Kaimu Kamanda wa polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja Issa Juma Suleiman amesema tukio hilo limetokea alfajiri ya leo na uchunguzi bado unaendelea .

0 comments:

Post a Comment