April 21, 2014


 Wachezaji wa Timu ya Kokni Jamat ya Zanzibar wakiteremka kwenye boti wakitokea Dar es laam kwenye Bonanza la Pasaka ambapo wamefanikiwa kuchukuwa makombe  matatu ya mshindi wa kwanza katika michezo ya Play Station,  mpira wa meza na mpira wa miguu dhidi ya wenyeji wao. Aliebeba kombe kubwa ni Rais wa Jumuia ya Kokn Jamat ya Zanzibar Jeff Babu.
  

Nahaza wa Timu ya Kokni Jamat Ibrahim Dalvi (kulia) na msaidizi wake Nabil Shamshuddin wakiwa wameshikilia kombe mara baada ya kuwasili Zanzibar.
 
Wachezaji wa Timu ya Kokni Jamat ya Zanzibar katika picha ya pamojabada y khua boti wakitokea Dar es salaam.


0 comments:

Post a Comment