Balozi wa Malawi nchini Tanzania Flossy
Gomile-Chidyaonga
|
Balozi wa
Malawi nchini Tanzania Flossy Gomile-Chidyaonga amefariki dunia leo jijini Dar
es salaam baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Kwa mujibu wa
taarifa iliyotolewa na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa ya Malawi Quent Kalichero.
Balozi Flossy mwaka
2006 alikuwa Naibu Balozi wa Malawi London kabla ya kuteuliwa kuwa Balozi wa nchi
hiyo Tanzania Septemba 2011
.MICHUZI.
0 comments:
Post a Comment