April 30, 2014

Mashirika ya umoja wa Mataifa yamepongezwa kwa kusaidia kusukuma maendeleo ya elimu kwa wanafunzi Zanzibar. 
Afisa utumishi Mkoa wa kaskazini Pemba Kassim Mohamed Abass  amesema serikali imeridhishwa na klabu hizo zinavyosaidia kuwajenga wanafunzi na kuweka tayari kukabiliana na changamoto za utandawazi ikiwemo suala la ajira.
Amesema  kutokanana mafanikio hayo kwa kundi kubwa la  vijana  serikali ya mkoa huo itatoa mchango wake katika mpango huo katika skuli nyegine za Pemba.
Amewaambia wanachama wa klabu hizo wakati akipokea chetu cha heshima kwa niaba ya mkuu wa mkoa huo kwa ajili ya kushawishi kuanzishwa klabu nyengine.
Mtaribu wa jumuiya ya vijana ya UN Zanzibar kanda ya Pemba Mohamed Hassan  Ali amesema klabu hizo zinalenga kuwashajihisha vijana   kuanzisha vikundi vya ushirika kubuni miradi baada ya kuonekana tatizo kubwa la ajira kwa vijana.

UN yapongezwa kwa kusaidia elimu Zanzibar

0 comments:

Post a Comment