January 05, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
 akipokea Hati za Utambulisho za Mhe. Song Geum-young, Balozi wa Jamhuri ya Korea 
 Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli 
akipokea Hati za Utambulisho za Balozi wa Palestina hapa nchini Mhe. 
Hazem M. Shabat Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akipokea Hati za Utambulisho za Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) 

hapa  nchini Mhe. Roeland Van de Greer  Ikulu jijini 
Dar es salaam leo Januari 5, 2016

0 comments:

Post a Comment