Watu 14 wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali ya Cottage
ya Makunduchi na Mnazi mmoja kufuatia ajali ya gari iliyotokea
mwambuani maeneo ya Muyuni, wilaya ya Kusini unguja.
Ajali hiyo ilihusisha gari ndogo aina ya carry yenye namba za usajili Z-466 BY iliyokuwa ikitokea mjini kuelekea Makunduchi, ikiwa na wanafunzi wa madrasa.

0 comments:
Post a Comment