
Michoro hiyo
imeandaliwa baada ujenzi wa awali kuzuiliwa kutokana na kutishia kuharibu haiba
yake hali halisi ya uhifadhi wa mji huo
wa kihistoria.
Mkurugenzi wa mamlaka
hiyo Issa Sariboko Makarani amesema ujenzi wa eneo hilo hautakuwa wa kudumu kwa
vile eneo hilo la mbele ya hospitali hiyo nila bustani ya kihistoria na lipo
karibu na ikulu rais wa Zanzibar.
Kw amujibu wa
mchoro huo sehemu hiyo itakapokamilika itakuwa na uwezo wa kutumiwa na kiasi cha watu mia nne hali
itakayopunguza msongamano wa katika maeneo ya hospitali.
Hospitali ya mnazi mmoja iliomba kujenga sehemu
hiyo kwa ajili ya kupata sehemu ya kusubiria watu wenye wagonjwa ambayo kwa
sasa ni moja ya tatizo kubwa linaloikabili
hali inayosababisha msongamano mkubwa.
0 comments:
Post a Comment