Saturday, November 28, 2015 by zenjkijiwe
 |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Bw, Mahesh Patel Mwenyekiti wa Kiwanda cha
Sukari cha Mahonda kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B. Unguja
alipofanya ziara maalum ya kutembelea kiwanda hicho leo,ambacho Kinachofanyiwa
ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka Nchini India |
 |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo wakati alipofuatana Meneja
wa Kiwanda cha Sukari cha Mahonda Bw.Rajesh Kumar (wa
pili kulia) kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B. Unguja alipofanya ziara
maalum ya kutembelea kiwanda hicho leo,ambacho kinachofanyiwa ukarabati
na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India,(kulia ni )
Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee
|
0 comments:
Post a Comment