Jumamosi tangazo hilo
linalosomeka hapa "TANGAZO" limeweza kubainisha internet explorer
toleo la 6 hadi la 11 yote yameweza kugundulika yanatoa mwanya kwa wahalifu
mtandao kupenya kwa watumiaji na kuchukua taarifa zozote zitakazo patikana
kwenye computer zao.
Aidha, Kampuni inayo jihusisha
na na maswala ya ulinzi mtandao ya "FireEye" imeonyesha takwimu yakua
asilimia 56 ya vi vinjari kwa hadi ilipofikia mwaka 2013 vilikua hatarini
kuingiliwa na wahalifu. na kubainisha kwamba wahalifu wamekua na uwezo wa
kutengeneza vivinjari visivyo sahihi vinavyo weza ruhusu wahalifu hao kuingilia
computer za watu mara tu watumiaji wa vi vinjari hivyo wanapo vitumia.
Microsofti imeshindwa kupata suluhu ya tatizo hilo ambapo CERT ya marekani imetoa tahadhari linalosomeka hapa "CERT ALERT" yakuwa watumiaji vivinjari vya "internet explorer" wanapaswa kubadil vivinjari kwa sasa na badala yake watumie vingine hadi hapo tatizo litakapo rekebishwa na kutangazwa vingenevyo.

Aidha,Christian Tripputi
Ametumia muda huu kuonya watumiaji wa Window XP yakuwa kwa sasa wako hatarini
kwani hakuna tena huduma zitakazo endelea kutolewa kwa Window hiyo na wahalifu
mtandao wamesha anza kuleta madhara kwa wote wanaoendelea na matumizi ya windo
hiyo na kusisistiza hapata kuwa na msaada kwa waathirika. Taarifa ya awali
ilyotelewa na Yusuph kileo kuhusiana na matumizi ya Window XP inasomeka hapa
“TAHADHARI KWA WATUMIAJI WA WINDOW XP".
0 comments:
Post a Comment