
Akizungumza na
wavuvi wa Ghuba ya Minai huko Mkoa wa kusini Unguja Amewataka wavuvi hao kurejea na shughuli zao
uvuvi kwa vile ni njia tegemeo ya kupata pato la uhakika.
Amesema urushaji wa vishada unaweza kuleta
athari katika mazingira na kusababisha
kutoweka samaki kutokana na mshindo unaotokea wakati vinapoanguka katika
bahari.
Nao
wavuvi hao wameahidi kukaa pamoja kupanga mikakati itakayowasaidia katika
shughuli za uvuvi pamoja na watalii hao.
0 comments:
Post a Comment