Sherehe
hizo ziliambatana na maonyesho mbalimbali yakiwemo ya kijeshi na halaiki
zilihudhuriwa na viongozi wa nchi 35 wakiwemo marais wa nchi 11 na mashirika ya
kimataifa.
Akiwatambulisha
viongozi waliohudhuria sherehe hizo Rais wa Kikwete amewasisitiza watanzania
kuthamini maendeleo ya muungano kutokana na mafaniko yaliyopatikana.
Amefahamisha
kuwa sherehekea hizo ni kuwakumbuka waasisi wa Tanganyika na Zanzibar m mwalimu nyerere na sheikh abeid
amani karume huku pia inatathmini maendeleo yaliyofikiwa katika kipindi hicho.
Amesema
muungano huo wa April 26 1964 kufikia
nusu karne ni ishara kubwa ya kuleta mabadiliko katika Tanzania na bara la Afrika
kwa pamoja.
0 comments:
Post a Comment